Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 4,TSHS 30 MILIONI,KIMARA-KING'ONG'O.
Ni umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro.
Naulo Bajaj Buku,Boda Buku,Daladala 700.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ina upande wa juu na Chini.
Chini kuna Chumba kimoja cha kulala.
Juu vyumba 3( Masta 1) Sebule, Chumba cha Ibada,
Jiko na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mpg



















