Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kisima, Kilimanjaro


NYUMBA INAUZWA KIWENGWA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Nyumba ilipo mpaka Barabarani Mita 120
Umbali kutoka Nyumba ilipo mpaka Beach/Pwani 400
Vyumba 4 (Master 2) Jiko, Public Toilet
Dining Room, Living Room
Fensi
Maji (Kisima)
Bei Tsh 165,000,000/=
NB: Video za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video ya nyumba, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hii nyumba ipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka nyumba ilipo mpaka Beach/Pwani ni mita 400
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote