Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Majengo, Arusha


MAJENGO YA SHULE YANAUZWA GOBA KWA NDAMBI YENYE SIFA HZ###
YAPO MADARASA 9.
OFICE 3.
VYOO V3 VYENYE MATUNDU 17.
NYUMBA YA KUKAA YENYE VYUMBA 4####
UKUBWA WA KIWANJA SQM 5281**** PAMEPIMWA(ULASIMISHAJI TAYARI)###
UMBALI TOKA GOBA ROAD MITA 400 TU###
NB;KUNA MADARASA BAADHI YANATUMIA KWA. NURSERY KUNA M2 AMEKODISHA###
HATI MAUZIANO( Sales agreement)##
BEI Million 480 maongezi Service Charge 50 Kuona Nyumba Site