Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA BORA NA NZUR INAUZWA KIKUYU SOUTH JIJINI DODOMA
Ina vyumba vinne
Master bedroom mbili
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Ipo jirani na SGR
Ipo jirani na barabara kubwa ya lami
Bei ni Tshs, 60,000,000/= ( milioni sitini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"