Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA
INA UZWA TSH MIL 95 TU
NYUMBA KUBWA YA VYUMBA 4 VYA KULALA VYUMBA 3 NI MASTERS BEDROOM INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA KISIMA CHA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
NA UWANI KUNA VYUMBA VIPO 4 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM
NYUMBA IPO NDANI YA FENS YOTE ENEO KUBWA SQUARE MITER 600
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NYUMBA MPYA KABISA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 95 TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175. 06526Q8143