Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI:MBEZI BEACH UPANDE WACHINI SHOPPERS
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 900
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MKONONI
________________
NYUMBA YA KISASA
____________
SERVICE CHARGE 50,000/=
_________
BEI BILIONI 1.5
___________
YENYE;-
Vyumba Vinne vya kulala Viwili ni Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public Ac Ac
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
________
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS BILIONI ( 1.5 )
Maongezi
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;