Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA
MAHALI MBEZI LUGURUNI
UMBALI DK 8 KWA MGUU
VYUMBA VINNE
KIMOJA NI MASTER KUBWAAA SANA
INAPUBLIC TOILET MBILI NDANI
SEBULE KUBWA
DINNING KUBWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
NJIA NI RAFIKI KWA MAGARI YOTE MKEKA
INA ENEO KUBWA SANA NDANI UNAFUGA AU KULIMA SAFI
BEI 400,000X6
WAHI CHAP🔥🔥
KUONA ELF 20
☎️ #0757208653