Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA 60 MILIONI PUGU KWA MUSTAPHA MAONGEZI YAPO SANA
Amenities.......
Vyumba Vinne
Kimoja master
Sebule, dining
Kitchen, store
Public toilet
Ina banda kubwa la kufugia halijaezekwa
Ipo Pugu Kwa Mustafa Ukonga Dar es Salaam
Nyumba ya pili kutoka barabarani
Bei 60,000,000 maongezi yapo mengi tu
Call WhatsApp 0713066000 0753066000
Karibu dalalimsomipuguchanika tukuhudumie kwa huduma bora uhakika na uaminifu.
Mteja Kwetu ni Mfalme.
NOTE: service Survey Charge 20k..