Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Shule
Bei: Milioni 280 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm1000
☑️Sifa: Vyumba 4 Vyote Master Sebule Mbili, Dining, Jiko & Vyoo Na Ina Fremu 5 Kwa Mbele.
☑️Umbali: Mita 50 Kutoka Lami
☑️Umiliki: Hati Imenyooka
☑️Ni Ushuani Sana
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate bila kuchajiwa tena
kwa maelezo zaidi piga O677370515


















