Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA TABATA SEGEREA (HOUSE ON SALE)
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP LIMITED
DATE LISTED: 02/07/2024
HOUSE LOCATION: TABATA SEGEREA BONYOKWA
PRICE: 135 Million (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
▫Ina Vyumba vinne vya Kulala
◇Viwili ni Master Bedroom , Sitting room ,Dining room,open Kitche,Store , Public toilet.
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
Kutoka barabarani mpaka kwenye nyumba ni Kama dakika 3/5 kwa kutembea
MUHIMU
Bei ni ndogo kulinganisha na thamani kwahyo mteja atakayewahi ndio atauziwa
kwenda saiti 50,000/=
CONTAC
Office: Bunju A
Mobile: 0683702330, 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com