Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IKO TEGETA WAZO HILL, MIVUMONI
BEI MILLION 200 tshs
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
Kimoja Masta, Sebule, dinning, jiko lenye stoo.
NYUMBA NI MPYAA, KUNA SERVANTKOTA YA CHUMBA KIMOJA PIA NA CHOO CHA NJE
MAWASILIANO ZAIDI
dalali Tegeta
0718809744
AU
0784234971 WhatsApp