Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbuzini kwa Sheha, Nguruweni (390 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
1
Ukubwa
390 SQM
Barabara ya Karibu
900m
Huduma na Sifa
Maelezo
BOMA LA KOZI TANO LINAUZWA MBUZINI KWA SHEHA
#unguja #zanzibar
Kituo kwa Sheha, boma lipo Nguruweni
Umbali mpaka Barabarani 900Mita
Kiwanja Ft 70x60
BOMA
Vyumba 4 (Master 2 )Dining Room, Sitting Room, Jiko, Stoo, Public Toilet
Foundation ya Fensi
Lipo Baada ya Barabara ya ndani
Bei Tsh m25
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake



















