Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI #500,000\/= X 6
__
IPO WAZIII NA PIGA SIMU UKIWA UMEELEWA KILICHOANDIKWA
__
đź’Ą APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 500,000\/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
NJIA ZOTE NI NZURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIGA SIMU
0716223412
0683597453
___
PIGA SIMUUUUU