Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA ZA KISASA 
ZINAPANGISHWA 
MBEZI LUGURUNI 
KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA MOROGOROROAD.
KODI YAKE 500K X 4
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOMS 
SEBLE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STORE 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW DAWASA 
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
TILES,GYPSUM 
GARDEN SAFI 
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















