Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


4/10/2024
Nyumba inapangishwa apartment
Location mbweni mpiji
Bei 400000 Kwa mwezi
Miezi 4 au 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Ipo ndani ya fence
Contact 0745010009