Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mtoni, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa tsh 450,000 kwa mwezi (miezi 6) Ina vyumba vinne (1master),sebule,dinning,store & public toilet, UMEME NA MAJI UTAJITEGEMEA
Location, Mtoni kijichi (temeke) mtaa Neluka
KWENYE compound mtakuwa wawili
==============
0712445523