Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Piga cm O677370515 kimara tembon
Umbali km 1.5
Vyumba viwili kimoja master sebule jiko
Kodi 250,000 x miezi 6
Maji ✅️
Umeme✅️
Kwenda kuona nyumba 15k bila kusahau malipo ya mwezi kwa agent