Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Magengeni, Mtwara


Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Boko Magengeni
Ina Vyumba 5 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Bei Million 1 Laki 5
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744