Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
JUMBA KUBWA LA.KISASA NA KUBWA SANA WAHI SASA INAJITEGEMEA FENSI NA ENEO KUBWA NA PARKING...
500,000X6 MBEZI MWISHO
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY WAI SASA MBEZI MWISHO
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko full makabati na public toilet Vyumba vyote vina makabat
JIKO LA NJE NA NDANI
PIA NJE KUNA VYUMBA VIWILI VYOTE UNA MILIKI WEWE..JUMLA VYUMBA 5 HII NYUMBAA
Kodi 500,000 Kwa mwezi Γ 6
Umbali KM 1.5 barabara safi haina kipengere
Umeme unajitegemea
Maji unajitegemea
Ndani ya fence parking IPO ya kutosha. Barabara ni nzuri kwa aina zote za magari
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404087