Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
STAND ALONE YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA KINYEREZI ZIMBILI
Bei:550,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION: TABATA KINYEREZI ZIMBILI
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- DAKIKA 6 KUTOKA MAIN ROAD
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 5 vya kulala
📍1 master bedroom
📍Sebule kubwa
📍Dinning Room
📍Jiko Safi
📍Stoo
📍Mafeni juu
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving Block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️Stane Alone ya kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano
Calls:
0785916587/ Whatsp /Calls
0627511524/Whatsp/Calls