Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam


TSHS MIL 950,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA NJIA NNE
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 920
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI SAFII
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitano vya kulala Vyote Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Swimming pool 🏊♀️
Fencedhouse
Garden
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 950
Maongezi yapo
__