Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Ihumwa, Dodoma







NYUMBA NZURI NA BORA INAUZWA IHUMWA YA MWANZO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,500 sq.m
Ina vyumba vitano
Master bedroom
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Ipo ndani ya fensi
Ina SERVANT
Chumba
Sebule, Jiko, toilet
Ina WATER reserve tank
Ipo jirani na lami ( Dsm/Moro road)
Bei ni Tshs. 350,000,000/= (milioni mia tatu na hamsini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"