Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
STEND ALONE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
SIFA YA HII NI
Vyumba vitano vya kulala kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na daing room jiko zuli inajitegea yenyewe kwenye fensi Mazingira salama sana
Nyumba inaalekebisho madogo tuu kama getini na taaza za kisasa
BEI SHILLING 550000 X 6
USAFIRI BAJAJI SH 1000 DALADALA SH 600 BODABODA 1500
UKISHUKA UNAPIGA MRANGO TEKE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL
CALL
CALL