Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
BANGALOO KUBWA SAANA LA GHOROFA LA KISASA KABISA
LINAUZWA 🔥LINAUZWA *KIMARA KOROGWE* - Dar es salaam - Tanzania
💥BEI YAKE MILION 600, MAONGEZI YAPO.
▫🏬Jumba hili la kifahari lina Vyumba Vitano vya Kulala, kati hivyo Vyumba vitatu ni self contained
▫Sitting room
Dinning room
Kitchen
Store
Public toilet..
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1300
◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇Gorofa ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Pia ina servant cotta ya Vyumba viwili vyote ni self contained.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM1.5
SERVICE CHARGE 30K.
0679447338
0753454167