Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA IYO INAUZWA
Bei milioni 300 ( maongez )
@
Mahali mbezi kwa msuguli
Kutoka kituoni mpaka kwenye nyumba
KM 1 mpaka kwenye nyumba boda sh 1000
@
Bajaji 700
Ina vyumba 5 sebule jiko choo
@
Vyumba 3 ni master diningi ipo
Parkingi kubwa sanaa
@
Mkifika kwenye makubaliano ya kununua
Document zipo mkifika maamuzi hati itasoma jina lako
@
@
@
Garama ya kupelekwa sh 50000
Kwa maelekezo zaidi piga sm 0756999550
Namba ya wasp 0659848687