Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
GHOROFA YA VYUMBA. 5, TSHS.350 MILIONI, MBEZI MSHIKAMANO.
Ni umbali wa kilomita 3 tu kutoka MAGUFULI TERMINAL/Morogoro.
Kiwanja SQM.1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 5 ( 3 Vyoo ndani)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.