Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KITAJIRI INAUZWA – MBWENI JKT USHUANI | TSH BILIONI 1.2
Fursa ya kumiliki nyumba ya kisasa yenye hadhi ya kifahari,ipo mtaa wakitaji yakwanza toka lami
📍 Mahali: Mbweni JKT Ushuani – Nyumba ya kwanza kutoka lami
🏠 Vyumba: 5 vyote ni master
🛋️ Sebule kubwa
🍽️ Jiko + Jiko la nje
🧺 Stoo
🍽️ Dining
🏊 Swimming pool
🛏️ Chumba cha mlinzi
✅ Mandhari tulivu na salama
✅ Nyumba imejengwa kwa ubora wa hali ya juu
💰 BEI: TSh 1,200,000,000 (Bilioni 1.2)
📞 PIGA SIMU
O746 433 854