Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mji Mpya, Morogoro


NYUMBA YA-KUMALIZIA UJENZI,VYUMBA 5,TSHS.110,TUNGUU MJI-MPYA,UNGUJA.
Hii ni nyumba nzuri kubwa yenye nafasi.
Imebaki mambo modogomadogo tu kukamilika.
Eneo ni TUNGUU, MJI MPYA.
Wastani wa kilomita 17 kutoka STONE Town (Mjini)
Na ni mita 300 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.750.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 5 ( 3 Vyoo ndani)
Pia ina Sebule 2, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________