Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Nyamanoro, Mwanza


NYUMBA INAUZWA NYAMANORO
-ina vyumba vitano vya kulala, sebule, jiko na choo
-ukubwa wa kiwanja ni Sqm 646
-ina hati miliki mkononi
-barabara nzuri ipo (gari inafika mpaka site )
-bei Mil 35 ( mazungumzo yapo)
-panafaa kwa kujenga nyumba za wapangaji
☎️ 0743220097