Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA MBILI KWENYE KIWANJA KIMOJA, TSHS.170 MILIONI, PUGU KIGOGOFRESH.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba moja Ina vyumba 5 vya kulala.
3Kati yake 3 vina vyoo ndani.
Nyumba ya Pili Ina vyumba 3 vya kulala.
Ambapo kimoja ni Masta.
Kila moja ina Sebule,Jiko, Store na Choo cha Familia.
Pia kuna Banda la kufugia Kuku.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.