Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


.
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Shule
Bei: Milioni 400 (Maongezi)
Dk1 Kutoka Lami, Mtaa Ni Wa Kishua Sana🙌🏻
☑️Sqm1000
☑️Ina Fremu 5 Mbele
☑️Vyumba 4, Kimoja Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Hati Miliki Ya Wizara
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
Piga: 0769138053