Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Tandika, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
TANDIKA YA KITUNDA KWA MPALANGE
Dili hilo jamaa yangu kakamatika. Nyumba 5. 
Moja vyumba 3
Moja chumba 1 
Tatu vyumba 2
Zipo Tandika ya Kitunda. Unaingilia kwa Mpalange.
Eneo kubwa sanaa square mita 900
Bei milioni 170 maongezi yapo kidogo 
Wai tu wai biashara ya chapu hyo
KWA MAWASILIANO ZAIDI 
#06777370515



















