Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mkolani Nyahingi Texas, Mwanza


Aina
Nyumba
Vyumba
6
Bafu
3
Sifa
Maelezo
Mjengo unauzwa milioni 175
Ukubwa wa kiwanja ni 90x40
Mjengo upo mkolani nyahingi texas
Nyumba inavyumba vinne kati ya hivyo vyumba vitatu vyote ni self...
Pia ipo chumba na sebule mara mbili na zote zimejaa wapangaji..
Yaani nyuma na mbele eneo ni sawa..
Na pote ni barabara kubwa kabisaa yaani pote panakaa mageiti makubwa
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711



















