Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Tabata Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam (1800 sqm)







Aina
Nyumba
Vyumba
6
Ukubwa
1800 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa bei milion 750, ina vyumba 6 vya kulala na vyumba master bedrooms, sebule, dining room 2, jiko lenye makabati, jiko la nje, stere 2, public toilet 2, pia kuna maji ya dawasa na kisima, pia hii eneo limepimwa tayari wizara ya aridhi na ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 1800, hii nyumba hipo maeneo ya tabata kinyerezi kifuru dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0768682919
Service survey charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam




















