Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Songasi, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
3
Bafu
2
Samani
Ndiyo
Sifa
Maelezo
Hii apartments ni full furniture inapangishwa kwa mwezi bei ya kodi sh milion 1000000, ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko lenye makabati, dining room, store, public toilet, Location tabata kinyerezi kibaga songasi dar es salaam
Sifa ya hii apartment, full furniture yani ina kila kitu kama unavyo ona wewe unakuja na begi lako la nguo tu
Pia kodi kianzia mwezi 1 na kuendelea ndugu wateja
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 30000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii




















