Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
2.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAA🪴
_____________>>
📍MAHALI - KIMARA TEMBONI
Umbali kutoka barabarani km 2.5..usafiri bajaji 1000..mpka getini
_____________<<
🚪MUUNDO
-Chumba kikubwa
-Sebule
-Jiko zuri la wastani
-Choo ndani
______________>>
HUDUMA
-Umeme upo wanashare wawili
-Maji unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya Fensi
-Usalama wa kutosha
_______________<<
💰MALIPO
~Bei ni 160,000 Mwezi
~Muda wa malipo miezi 4+
_______________>>
NB: MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA.ATALIPIA MTEJA😎
☎️MAWASILIANO
+225 625606710 Call/Whatsaap




















