Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam


Aina
Apartment
Vyumba
2
Sifa
Maelezo
Apartment vyumba 2 kimoja master sebule na jiko 650,000/=sinza mori kodi miezi 6
#luku yake
#parking ✅✅
#ukiona nyumba piga cm haraka kabla nyumba haijapangishwa
#service charge ya kuona nyumba 30k
📞0654221212



















