Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kitunda Mazizini, Dar Es Salaam (9501 sqm)


Aina
Kiwanja (Commercial Plot)
Ukubwa
9501 SQM
Sifa
Maelezo
KIWANJA EKA 2.15 (SQM.9,501) TSHS.800 MILIONI,KITUNDA MAZIZINI.
Hapa ni umbali wa Kilomita 8 tu kutoka
AIRPORT(JKNIA)
Kiwanja kimezunguushiwa Fensi.
Ndani kuna:
●Mabanda ya Kufugia Kuku.
●Bwawa kubwa la Kufugia Samaki (Halitumiki)
●Huduma za Umeme na Maji zipo
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa unaweza kufanya Uwekezaji kama:
Ujenzi wa Hospitali,Shule,
Nyumba za Biashara (Apartments)
Hotel,Yard au Kuendeleza Ufugaji wa Kisasa nk.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________zw



















