Shamba linauzwa Kisesa, Mwanza
KATIKATI YA KISESA NA NYANGUGE SHAMBA LA HEKA 110 LINAUZWA
-ukubwa wa shamba lote ni heka 110
-shamba linafaa kwa kilimo, ufugaji, makazi n.k
-bei Milioni 300 ( maongezi yapo )
-shamba lipo umbali wa km 35 kutoka mwanza mjini
NB:-
-Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki shamba
☎️ 0743220097