Shamba linauzwa Lolkisale, Arusha


Lolkisale, Monduli, Arusha
2 months ago
Sh. 1,500,000
Installment Allowed
Agriculture
*Shamba la Ekari 3100 linauzwa Lolkisale, Arusha*
*Distance* Kutoka katikati ya mji wa Arusha mpaka shamba ni 65 Kilometers
*Location* Lolkisale ni kata ya Wilaya ya Monduli.
-Shamba linakubali mazao yote kama Maharage, Mahindi n.k.
-Shamba lina visima 4 na vyote vinafanyakazi
*Shamba linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji kutoka na Visima vya maji*
-Shamba lina Mbuzi 3,000 na Kondoo 2,500.
-Document: Title Deed
*Bei shilingi 1,500,000 kwa kila ekari moja*
*UTAJIRI HUU NDUGU ZANGU*
Buy, Sell, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp+255621488071