Mashamba yanauzwa Kiwangwa, Pwani
SITE VISIT SHAMBA KIWANGWA JUMAMOSI YA WIKI ILIYOPITA 🔥🔥
Safari nyingine itakuepo Jumamos ya wiki hii
Pichani ni Bwaya alilochimba Jirani wa Mahindi kwamba Maji yapo ya Kutosha 😍
Maboss waliweza kupata mahindi ya Kuchoma fresh from Shamba 😊
Unaweza kulima, Kufuga na ata Kuishi
Kilimo rafiki ni Mahindi, Nanasi, Migomba, Alizeti, Miti nk
Bei ya ekari ni 1.5M lipa kwa miezi 15 yaani laki 1 kila mwezi
Mashamba yapo 10km kutoka lami
Ni Kiwangwa Bagamoyo
Kwa Raman na Maelezo zaidi