Mashamba yanauzwa Kiwangwa, Pwani
SITE VISIT SHAMBA KIWANGWA JUMAMOSI YA WIKI ILIYOPITA 🔥🔥
Safari nyingine itakuepo Jumamos ya wiki hii
Gari zinafika mpaka site
Majirani wazuri, Udongo Mzuri, Maji yapo na Barabara Nzuri nyakati zote
Unaweza kulima, Kufuga na ata Kuishi
Kilimo rafiki ni Mahindi, Nanasi, Migomba, Alizeti, Miti nk
Bei ya ekari ni 1.5M lipa kwa miezi 15 yaani laki 1 kila mwezi
Mashamba yapo 10km kutoka lami
Ni Kiwangwa Bagamoyo
Kwa Raman na Maelezo zaidi #0657907091