Frame inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


🗣INAPANGISHWA FREM _ 📍Mti pesa goba road
Kodi 250,000Tsh kwa mwezi
Malipo miezi 6
💵Service Charge 30,000\=
📍Eneo Mti pesa , goba road
✅Inatizama Lami
✅Umeme na maji mita yako
✅Eneo lenye mzunguko wa watu ni mkubwa
✅Inafaa kwa biashara\Ofisi Mbalimbali


















