Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
FRAME KUBWA SANA YA KIBIASHARA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
π₯KODI YAKE 200K X4
FREM HII NI KUBWA SAANA (TWO IN ONE)..
INAFAA KWA BIASHARA KAMA VILE, UUZAJI WA NAFAKA JUMLA NA REJA REJA, HARDWARE,
BIASHARA YA DUKA LA VINYWAJI VYA JUMLA N.K
FREM HII KUBWA IPO LOCATION NZURI NA MTAA ULIOCHANGAMKA NA WENYE MCHANGANYIKO WA WATU..
FREM HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE FREM HII NI KM2..
SERVICE CHARGE 15K
ENDAPO UTAFANYA MALIPO YA HII FREM, UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA π
USAFIRI >>
BAJAJI TSH700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
Contract π²
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747