Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
FRAME 💥FRAME 💥FRAME NZURI INAPANGISHWA
💥FRAME NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA INASIFA ZIFUATAZO
# FRAME KUBWA
#INAJITEGEMEA LUKU
#FRAME INA MLANGO WA KIOO KABISA
BEI NI 160K X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 60 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 FRAME HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE FRAME NI DK 4 TUU KWA MIGUU