Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


FRAME KUBWA NZURI INAPANGISHWA INAFAA KWA BIASHARA YEYOTE ILE NA IPO CENTER HAPA KIMARA SUKA
💥SIFA ZA FRAME HII
#INAJITEGEMEA LUKU YAKE
#FRAME KUBWA NZURI
#IPO CENTER KABISA
BEI NI 200,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 FRAME HII IPO KIMARA SUKA IPO JIRANI NA BARABARA YA MOROGORO ROAD (INAANGALIA SERVICE ROAD YA MOROGORO ROAD
Kupelekwa kwenye frame Elfu kumi na Tano itadumu mpaka unapata dalali mwenzi mmoja
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja