Frame inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


FRAME! FRAME! FRAME!
FRAME NZURI NA KUBWA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
NOTE**
FRAME KUBWA
IPO MTAA MZURI SANA
LUKU WAWILI
MAJI YAPO YAKUTOSHA
BEI
TSH. 100,000/= KWA MWEZI. ILIPWE MIEZI 6
LOCATION
MBEZI KWA MSUGURI MAENEO YA MALAMBA SHULENI
HAPA UTAFANYA BIASHARA WATOTO WA SHULE,WAPITA NJIA WA MTAANI NI WENGI SANA,KARIBU NDUGU MTEJA UPATE FRAME NZURI NA BEI NZURI
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177