Frame inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
FULL FURNITURE FRAME FOR RENT
FREMU YA CHAKULA YENYE KILA KITU NDANI INAPANGISHWA
LOCATION. Mbezi mwisho pembeni na Foundation Of Joy
Frame HII Ina
-vitiii vya kukalia
-vijiko
-sahani
-Jokofu(friji)
-Jiko
-Meza
-bakuli
Na vinginevyo
Kodi KWA mwezi Ni 150,000
Malipo ya miezi 6
Gharama za kupelekwa kuangalia Ni 15,000
Endapo utalipia frame utamlipa dalali pesa ya shilingi 150,000
#0785889413