Frame inapangishwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


๐ฅ Frame za Biashara Zinapangishwa โ Mwananyamala ๐ฅ
Zipo frame mbili maeneo yenye movement kubwa ya watu!
๐ฐ Frame ya kwanza: 400,000/=
๐ฐ Frame ya pili: 600,000/=
๐
Malipo: Miezi 6
๐ Ziko sehemu nyauka, karibu na barabara kuu, zinafaa kwa biashara yoyote!
๐ต Service charge -30,000
๐ผ Agent commission ni lazima
๐ Wasiliana ๐ฒ 0678512666
#FrameZaBiashara #Mwananyamala #DalaliMshua #BiasharaInalipa #LocationKali


















