Frame inapangishwa Mwanga, Kilimanjaro


Flem inapangishwa jilan na sango
ipo barabara ya mwanga bar - majengo sokoni
Inafaa kwa aina yeyote ya Biashara.
Mfano :- Fashion,
Cosmetic, Viatu,
MinsuperMarket,
Salon Kike & kiume,
Ofisi ya kawaida.
Electronic.
CarAuto spear party.
Kod Lak 700,000/= mwezi malipo miez 11 tuh
Kodi itaanza kusoma kuanzia tarehe 1
Ruksa kuona na kulipa na kuhamia leo leo.
Piga simu njoo site mbio mbio tumalize Biashara.
Note :- Flem hazikai -kwenda kuona flame ni elfu 10,000 tu
Call -0763459866 / WHATSAPP

